ni ushauri mzuri, but kitu kikubwa ni mfumo wetu wa elimu, ndo unatufanya kuaminiwa kazini kwa mfanyabiashara kuwa ngumu, let say kama kungekuwa na internship ya kupata uzoefu wa kazi kwa, miaka miwili ambayo inakuwa ni kozi kama . zingine za.theories na practical, baada ya hiyo internships ya uzoefu wa kazi, unapewa na leseni kabisa, inakuwa ni njia.rahisi kwa BOSS kukuamini sababu anajua kuwa mfumo wa elimu ni supportive haka kwa freshers kutoka vyuoni
Its a nice advice kiukweli, issues kama FIELDS za vyuoni zinasaidia sana kugain experiences ya activies zinazofanyika uko makazini.
But pia after university kuna vitu kama internships pamoja na volunteering hivi vitu husaidia sana kugain hizo experiences zinazohitajika.
changamoto kubwa ipo kwenye volunteering ambapo makampuni, wizara pamoja na mashirika mengine hayatoi posho nzuri itayoweza kuwafanya freshers kuweza kujikimu na maisha ya kila siku huku wakisaidia makampuni hayo kujiingizia kipato kizuri tu.

Yes, kama ambavyo wanavyofanya intern watu wa Afya kwa degree